TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA ATEKELEZA MIRADI MIKUBWA YA MAJI 1,500



Chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, bajeti ya sekta ya maji imeongezeka kutoka shilingi bilioni 581.6 mwaka 2020/21 hadi shilingi bilioni 755.6 mwaka 2024/25, sawa na ongezeko la asilimia 30. 

Fedha hizi zimewezesha miradi zaidi ya 1,500 kukamilika, ikiwemo miradi 700 ya vijijini na miradi 150 mikubwa ya mijini, na kuboresha huduma kwa zaidi ya wananchi milioni 10 waliokuwa hawana upatikanaji wa uhakika wa maji safi.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com