Chini ya Rais Samia, bei ya korosho imeongezeka kutoka shilingi 1,190 mwaka 2020 hadi shilingi 3,480 mwaka 2025.
Kiasi cha korosho kilichouzwa nje mwaka 2020 ni tani 232,000 sawa na USD milioni 196 (TSh bilioni 460), wakati mwaka 2025 ziliuzwa tani 528,260 kwa USD milioni 584 sawa na TSh trilioni 1.52.
Hii ni ishara ya Rais Samia kuwajali wakulima kwa kuwatafutia masoko mazuri na ya uhakika kupitia TMX.