TANGAZO

TANGAZO

UJENZI WA SGR KIPANDE CHA MOROGORO - MAKUTUPORA CHAKAMILIKA KWA ASILIMIA 97.98


Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kipande cha SGR Morogoro – Makutupora chenye urefu wa kilometa 422 kimekamilika kwa asilimia 97.98.

Kikikamilika kabisa, kitatumia shilingi Trilioni 4.4 sawa na dola za Kimarekani bilioni 1.78. 

Mpaka mwisho, kitaajiri zaidi ya watu 3,000 na kinatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka mmoja kulingana na ratiba ya ujenzi. 

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com