Chini yaRais Samia Suluhu Hassan, kipandechaSGR Morogoro – Makutupora chenye urefu wa kilometa 422 kimekamilika kwa asilimia 97.98. Kikikamilika kabisa, kitatumia shilingi Trilioni 4.4 sawa na dola za Kimarekani bilioni 1.78.
Mpaka mwisho, kitaajiri zaidi ya watu 3,000 na kinatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka mmoja kulingana na ratiba ya ujenzi.
