TANGAZO

TANGAZO

HIZI NDIO SABABU ZA KWANINI OKTOBA 29 TUTIKI KWA DKT. SAMIA "ONGEZEKO LA VITUO VYA AFYA"

 


Sekta ya Afya: Fedha za Maendeleo zimeongezeka kwa asilimia 175 sawa na mara 3. Oktoba 29 tutatiki kwa Dkt. Samia, kwani mwaka 2020|21 bajeti ilikuwa shilingi bilioni 900.09, huku fedha za maendeleo zikiwa bilioni 360.96 (Ndani 280.70; Nje 80.26).

Leo, mwaka 2025|26 bajeti imefikia shilingi trilioni 1.6, zikiwemo shilingi bilioni 991.7 za maendeleo na bilioni 626.4 za matumizi ya kawaida sawa na ongezeko la asilimia 78 kwa bajeti jumla na 175 kwa fedha za maendeleo, ambazo ni takribani mara 2.7 zaidi.

Hii imesaidia kuongezeka kwa vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 8,783 mwaka 2020 hadi 12,846 mwaka 2025, sambamba na kuimarika kwa upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, na huduma za mama na mtoto. 

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com