Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 29 Oktoba 2025.
Amewahimiza wananchi kutumia haki yao ya Kikatiba ya kupiga kura kwa amani na utulivu.
Pia amewashukuru wanakijiji wa Kasumo kwa kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kuchagua viongozi







