Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili kwenye viwanja vya shule yaa sekondari Ushirombo kusherehekea siku ya Mwalimu- Bukombe. Kassim Majaliwa ambaye ni mgeni rasmi katika siku ya mwalimu - Bukombe amewasili katika viwanja hivi akiambatana na mgombea Ubunge jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko.
Huu unakuwa msimu wa sita wa Maadhimisho ya siku ya mwalimu - Bukombe tangu yalipoanzishwa rasmi.
Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com