Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 18, 2025.

