TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU KASSIM MAJALIWA



Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amekutana naye wakati akiwa katika ziara ya siku tatu ya kikazi  mkoani Lindi.