Tarehe 16 Mei, 2026 saa 08 :00 usiku eneo la Mabibo Ubungo Dar es Salaam mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Bhaozang Ge, miaka 50, raia wa China, mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa kiitwacho XIL LIalishambuliwa na walinzi binafsi wa kiwanda chake na kupelekea kifo chake.
Upelelezi wa tukio hilo unaendelea ili watuhumiwa wachukuliwe hatua zaidi kali za kisheria.
Imetolewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam.
