WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, Ikulu Magogoni, Jijini Dar es Salaam, leo Jumanne, Juni 9, 2026, wakati wa ziara rasmi ya Rais huyo nchini Tanzania.