TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU CHAMWINO DODOMA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 16 Januari, 2025.     

   

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com