Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linasema aliyefariki Dunia sio kamishina wa Operashini na Mafunzo Tanzania CP Awadhi Juma Haji ni mkuu wa polisi wa wilaya ya kipolisi Chanika Awadh Mohamed Chico.
Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Faustine J. Mafwele.



