TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA AKIWA KWENYE HAFLA YA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA ARDHI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa  kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com