TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS DKT. SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI WA SIASA, SERIKALI, DINI NA MAKUNDI MAALUM IKULU NDOGO ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Viongozi wa Siasa, Serikali, Dini na Makundi Maalum Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar.