TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS DKT. SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA MISRI, IKULU NDOGO YA TUNGUU, ZANZIBAR




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Misri Mhe. Badr Abdelatty ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri ( Minister of Foreign Affairs, Emigration and Egyptian Expatriates of the Arab Republic of Egypt ), tarehe 20 Machi, 2025, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.











Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com