TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS MSTAAFU KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA SENEGAL

 


Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, leo tarehe 24 Machi 2025, amewasilisha Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Senegal, Mhe. Bassirou Diomaye Faye katika Ikulu ya Rais huyo jijini Dakar, Senegal. 






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com