TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA CAG NA TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI WA TAKUKURU IKULU DAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023-2024 pamoja na Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Ikulu Jijini Dar es Salaam.















Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com