Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama na Mgombea Urais kupitia Chadema Dr. Wilbroad Slaa amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya Leo tarehe 23 Machi 2025, Awaomba radhi wana Chama wa Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)




