TANGAZO

TANGAZO

PICHA: WASIRA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA ITILIMA


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amehutubia maelfu ya Wananchi wa Jimbo la Itilima katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Viwanja Vya Nkoma B, leo Machi 29, 2025.







Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com