TANGAZO

TANGAZO

PICHA: WAZIRI MKUU ALIVYOSHIRIKI IFTARI NA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa jana Machi 05, 2025 ameshiriki hafla ya Iftari na Benki ya NMB pamoja na watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.










Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com