TANGAZO

TANGAZO

PICHA: DKT. BITEKO AKISALIMIANA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI LEO


 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Wabunge mbalimbali wakati wa mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha tatu April 10, 2025 Jijini Dodoma.




Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati wa mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha tatu April 10, 2025 Jijini Dodoma.


Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com