TANGAZO

TANGAZO

PICHA: DKT. BITEKO AWASILI LONGIDO

 


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokewa na Kiongozi wa wanafunzi kidato cha kwanza (1), Lucy Lengishoni mara baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Longido Samia.


Ziara hiyo ni sehemu ya shamrashamra za kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanzania Aprili 24, 2025 Mkoani Arusha. 





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com