TANGAZO

TANGAZO

PICHA: DKT. NCHIMBI AKAGUA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE MUSOMA

 


 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.







Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com