TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA ASAINI TAMKO LA TOLEO LA SHERIA ZILIZOFANYIWA UREKEBU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan asaini tamko la Toleo la Sheria zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria ya urekebu wa sheria, sura ya Nne, Chamwino Mkoani Dodoma.









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com