Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mwanzilishi wa Tamasha la Utalii wa Vyakula Zimbabwe ambaye ni Mwenza wa Rais wa Zimbabwe Dkt. Auxilia Mnangagwa kando ya Mkutano wa wa Pili wa Umoja wa Mataifa wa Utalii wa Vyakula Barani Afrika unaofanyika Ukumbi wa Gran Melia Jijini Arusha. Tarehe 23 Aprili 2025.


