TANGAZO

TANGAZO

PICHA: MATUKIO MBALIMBALI KATIKA SHUGHULI YA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO


 Matukio mbalimbali katika shughuli za Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga. Mazishi hayo yanafanyika nyumbani kwake eneo la Migungani, Bunda Mkoani Mara leo tarehe 16 Aprili, 2025.









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com