TANGAZO

TANGAZO

PICHA: RAIS SAMIA ATUNUKU NISHANI ZA MUUNGANO KWA VIONGOZI MBALIMBALI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atunuku Nishani za Muungano kwa Viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.