TANGAZO

TANGAZO

MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WIZARA YA ARDHI YA JAPAN PAMOJA NA SHIRIKISHO LA WAWEKEZAJI (JAIDA)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mei 27, 2025, alikutana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan,  Mheshimiwa Hiromasa Nakano  kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan


Aidha, Mheshimiwa Majaliwa alifanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu la Japan (JAIDA)  Miyamoto Yoichi pamoja na ujumbe wake ambapo walijadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya uwekezaji kwenye sekta za Ardhi, Miundombinu pamoja na Usafirishaji.





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com