Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Brazil Mhe.Dkt. John Simbachawene wakati akiwasili katika Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil akiwa ziarani kushiriki Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula, Mapambano dhidi ya Njaa na Maendeleo Vijijini unaofanyika Jijini Brasilia. Tarehe 22 Mei 2025.
Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com