TANGAZO

TANGAZO

MAKAMU WA RAIS AWASILI IRINGA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA CHUO KIKUU KATOLIKI RUAHA

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Mkoani Iringa ambapo anatarajia kushiriki Maadhimisho ya Miaka Ishirini ya Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) yanayofanyika leo tarehe 14 Mei 2025 katika Viwanja vya Chuo hicho.








Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com