TANGAZO

TANGAZO

MAKAMU WA RAIS KUMWAKILISHA RAIS SAMIA BRAZIL



Makamu wa Rais Mhe. Dkt.Philip Mpango kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com