Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa St. Mary Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kushiriki Sherehe ya Uzinduzi wa Jimbo Jipya Katoliki la Bagamoyo na kusimikwa kwa Askofu wa kwanza wa Jimbo hilo Mhashamu Askofu Stephano Lameck Musomba leo tarehe 04 Mei 2025.
Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com