TANGAZO

TANGAZO

PICHA: WAZIRI MASAUNI AUNGANA NA UJUMBE WA WAZIRI MKUU NCHINI JAPAN

 


Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Rais Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni ameungana na ujumbe wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa uliopo nchini Japan Kushiriki maonesho ya Dunia ya EXPO 2025 Osaka Japan ambapo leo Mei 25,2025 ni Siku ya Taifa la Tanzania(Tanzania National Day)










Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com