TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA ATOA TUZO ZA SAMIA KALAMU AWARDS 2025 KWA WAANDISHI WA HABARI


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam.














Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com