TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Al Nayhan.