TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI BALOZI CHANA AKIWASILI BUNGENI KWAAJILI YA KUWASILISHA BAJETI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026





 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akiwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 19, Bungeni jijini Dodoma.












Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com