TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI DKT. CHANA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII


Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Mei 19,2025 Bungeni jijini Dodoma.









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com