TANGAZO

TANGAZO

WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA MAAFISA WATENDAJI WAKUU BARANI AFRIKA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.


Mheshimiwa Majaliwa amepokelewa katika uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny Jijini Abidjan na Waziri Mkuu wa Ivory Coast Robert Beugre Mambe.






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com