Aliyeandika Kitabu cha wasifu wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (2020), Ndugu Mathias Kabadi achukua na kurudisha fomu kuwania Ubunge jimbo jipya la Chato Kusini.