TANGAZO

TANGAZO

KAMISHNA WA NCAA AKUTANA NA MKUU WA WILAYA YA KARATU OFISINI KWAKE


Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-Razaq Badru (Kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Dkt. Lameck Karanga alipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha.