Mjumbe wa NEC amechukua fomu kuwania ubunge jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya,Jimbo hilo ambalo linaongozwa na Mbunge Anton Mwantona hadi sasa lakini Jimbo hilo pia linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke, Aliko Mwaiteleke na wengine.