TANGAZO

TANGAZO

RAIS SAMIA : KUANZA KWA MIZIGO SGR KUTAIMARISHA TANZANIA KAMA LANGO LA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI (+VIDEO)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuanza kwa usafirishaji mizigo katika reli  ya kiwango cha kimataifa (SGR) pamoja na mambo mengine, kutaimarisha nafasi ya Tanzania kama lango la biashara katika Jumuia ya Afrika Mashariki.

Rais Samia ametoa kauli hiyo Juni 27, 2025 alipokuwa anahitimisha shughuli za bunge Jijini Dodoma, akitoa mrejesho wa utekekezaji wa majukumu ya serikali na yale iliyoahidi kufanya hususani kwenye sekta ya uchukuzi.





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com