TANGAZO

TANGAZO

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA CHAMA CHA MADAKTARI

 



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumatano (Juni 18, 2025) amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) na Kongamano la Kitaifa la Tiba pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya MAT, kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha, jijini Arusha.


Akizungumza katika kongamano hilo, Rais Dkt. Samia amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wote wa sekta ya afya kikiwemo Chama cha Madaktari Tanzania na vyama vingine vya kitaaluma, asasi za kiraia, mashirika yasiyo ya Kiserikali na mashirika ya Kitaifa na Kimataifa kuimarisha maendeleo ya afya hapa nchini.






Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com