TANGAZO

TANGAZO

NCAA WAPO DODOMA - WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025

 


Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma, kuanzia tarehe 16 hadi 23 Juni 2025.


Tunawakaribisha wananchi wote ndani ya Mkoa wa Dodoma, taasisi za Serikali na binafsi na makundi mbalimbali kututembelea banda la NCAA lililopp kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii waweze kupata elimu kuhusu uhifadhi, shughuli za utalii na maendeleo ya jamii hususan ushirikishwaji wa jamii kwenye sekta ya uhifadhi na utalii. 


“Wiki ya Utumishi wa Umma, Huduma imesogezwa karibu yako, Karibu tukuhudumie”




#NCAAUpdates #WikiYaUtumishiWaUmma

 #Dodoma2025 #VisitNgorongoro

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com