TANGAZO

TANGAZO

JESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATANO TUHUMA ZA MAUAJI YA MTUMISHI WA TASAF NA KUUFUKIA MWILI WAKE



Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumuua Castory Casian Mtumishi wa TASAF, Kwa taarifa kamili soma Taarifa hii hapa Chini kutoka Jeshi la Polisi Tanzania.


Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com