TANGAZO

TANGAZO

MAKAMU WA RAIS AWASILI UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA WAGANGA WAKUU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma kufungua Mkutano wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri leo tarehe 12 Julai 2025.









Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com