TANGAZO

TANGAZO

PICHA: KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO, ADO SHAIBU APOKEA NAKALA TEPE YA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA




Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu akipokea nakala tepe ya daftari la kudumu la wapigakura kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Rufani Jacobs Mwambegele kwenye kikao cha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na viongozi wakuu wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu 2025 iliyofanyika katika Ukumbi wa Hazina Dodoma leo tarehe 27 Julai 2025.

Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com