TANGAZO

TANGAZO

PICHA: KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI CCM KILIVYOFANYIKA USIKU JIJINI DODOMA



Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea muda huu majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.





Kama una Taarifa,Picha, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kwa simu +255 766 166 125 au Email : emmymwaipopo@gmail.com