Viongozi mbalimbali wakiwasili katika Uwanja wa Mashujaa Mtumba Dodoma kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Ambapo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anategemewa kuwa Mgeni Rasmi.
Maadhimisho hayo hufanyika Julai 25 ya kila mwaka.